Daktari ni mchovu tu wa pembeni anayedandia hapa public. We si ajabu unaletewa kwanza PM u-approve kwanza kabla hazijawekwa hapa kwa wachovu tugombanie. Usitubanie sana komandoo. Au nadanganya Boss Lady?
Yaani kwenye uzi huu mh! Kuna vikoloni na viutawala tawala vya kibwanyenye vingi sana. Kuna haja ya ku-introduce federal system ili tuviondoe viutawala hivi vya kiHangaya Hangaya