Nijuavyo mimi mu-shaija ni mwanaume kwa ile lugha yetu ya kimataifa; na ka- katika ka-shaija ni kiambatishi dogoshi pendezeshi kama ilivyo kwenye m-toto ~ ka-toto. Nimetumia neno Kashaija kwa maana hiyo jumuishi. Ningekulenga wewe, maadamu nalijua jina lako halisi, basi ningesema kabisa Kashaija72 ili kukwepa utata.
Mimi kuabudu kwa kizungu yaani huwa sinogewi kabisa. Hata hizi nyimbo za kizungu hizi wala! Hata nikiomba kwa kizungu sala wala hazikolei. Sijui hata tatizo ni nini. Labda ni kutoifahamu lugha hiyo vizuri pamoja na utamaduni wake

Inawezekana ni mazoea , unajikuta tu ushazoea kuimba kwa kingereza .
Kufahamu lugha si tatizo sema kikubwa ni lugha ulivyoanza kuitumia katika kuimba .