Walikua washabiki wa watu...hili ndo tatizo
Wana mawazo ya ujima bado.
Wanaamini nchi ipo kama familia, kwamba inaweza kuendeshwa na mtu mmoja bila mfumo dhabiti.
Unfortunately yule mtu hayupo leo, tumerudi pale pale.
Angetengeneza 'mifumo' leo hii pengine tungekua na hali nzuri.
He created personalities, instead. Akina Sabawize, Albeto Bashi(ru?)
Tunafanya makosa sana tukiamini nchi inaweza kuendeshwa kama kafamilia kadogo.
Kwanini tunaamini tunaweza kuwa na mikataba na Mungu?