Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Sure, WTI na BRENT ni tamuu kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na ngekewa na hizo commodities mbili.. ilifikia kipindi kwa wiki anatengeneza hata $ 10,000.. shida alikuwa mzee sana wa chini.. asahivi ameisha udongo umemaliza mwendo 😄😄😄😄Hahaaaaaa. Nadhani ukideal na WTI na BRENT only ukaachana na takataka nyingine asee utakula mema ya nchi.
I won't 🤪Usiniangushe asaaa 😎😎😎
😄😄😄😄Kuna mtu na mmiss.nashindwa kulinda lindo
hahahaha.hebu muite bhasi😄😄😄😄
kakamatwaaa 😀😀hahahaha.hebu muite bhasi
hahahaha.dohkakamatwaaa 😀😀
na mie acha nikamate wangu.. tutaonana kesho 😀😀hahahaha.doh
Kamanda hebu weka hata picha ya Cobalt inatosha. Mi sijawahi iona. Hata Boss Lady sidhani kama ameshaiona! [emoji16][emoji16]Amkeni muweke selfie
hahahahahahaKamanda hebu weka hata picha ya Cobalt inatosha. Mi sijawahi iona. Hata Boss Lady sidhani kama ameshaiona! [emoji16][emoji16]
Merdi...Lundi
Hahahaha[emoji23]Natafuta Mnyaki wa kula naye Valentine hii...maparachichi tayari ninayo [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2112132