Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,467
- 95,987
huku mtoto kapiga ki night dress fulan hv cha uchokozibasi mtu chake atakuhamishia kwenye ulimwengu mwingine ambao hujawai kuuishi.. navuta picha utavyokuwa una mdekea unamrukia rukia kitandani ππ
michezo yote.kwa raha
hahahaHivi kidali Po ndio mchezo gani nikumbushe kidogo!
kuna visu hatari humu πππ
ewaaaYote kama yote sio!!
utulivu muhimukuna visu hatari humu πππ
Nhahahaha! Afu Napenda vi night dress vifupi sana vya kuchanua Weuweeeeeehh π€Έπ€Έhuku mtoto kapiga ki night dress fulan hv cha uchokozi
na ile shape flani... alafu kuna ka mzikii flani hivi kwa mbaaali.. na vi matunda vya strawberry ππ unamlisha kimoja kimoja.. dunia yote inakuwa yake..huku mtoto kapiga ki night dress fulan hv cha uchokozi
na ile rangi yake sasautaona rahaa
Za kawaida tu mkuu hao wapambe sana!Acha watu waone neema za allah..
Ila kuna kitu cha tofauti mahali... najikuta natamani kuona picha ulizopandisha jana maana zilimwagwa sifa zilizoambatana na kutamani ..
Ivi jana uliwaonesha nini hawa jamaa..
πππ huu anakueleza mtu chake.. majukumu kama hayo ni yake sasa hiviHivi kidali Po ndio mchezo gani nikumbushe kidogo!
umeona eeh,huku ki wine pembeniNhahahaha! Afu Napenda vi night dress vifupi sana vya kuchanua Weuweeeeeehh π€Έπ€Έ
ataelekezwa tukiwa sehemuπππ huu anakueleza mtu chake.. majukumu kama hayo ni yake sasa hivi
utu uzima dawa, kila anachoependa. mtoto ndicho na wewe umepaanga kumfanyiaumeona eeh,huku ki wine pembeni
Slow music ama nene! Hizo strawberry tunalishana kwa mdomo bana unaniangusha ππ!na ile shape flani... alafu kuna ka mzikii flani hivi kwa mbaaali.. na vi matunda vya strawberry ππ unamlisha kimoja kimoja.. dunia yote inakuwa yake..
Ki wine kisicholewesha sio!umeona eeh,huku ki wine pembeni
na vingine vya ziada.mrembo km mahondaw hatakiwi apate tabu,shida, yeye ni kudeka tu mwanzo mwishoutu uzima dawa, kila anachoependa. mtoto ndicho na wewe umepaanga kumfanyia
ewaaa.Ki wine kisicholewesha sio!