Yani wewe, unahitaji kulelewa na mwanaume ( mwanaume ambae atakuona kama mtoto wake), kwasababu una wishi hivyo.. kwasababu udogoni inaokena huku exprience utoto wako vizuri.. now una wish sana hiyoo.. ukipata katili maskini unakuwa heart broken.. au nadaganha πππ