Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Sijawahi kuvaa suti..sijui lini nitanunua suti Kwa kweli[emoji28]kitambi cha kazi gani aseee [emoji23][emoji23][emoji23]
siku wife wako akitaka kuvaa utavaaa tuSijawahi kuvaa suti..sijui lini nitanunua suti Kwa kweli[emoji28]
Umeenda kuogelea? Natumaini sio ya kudanilodi
Nipe mwenyewe basiAmesema hujamfikishia salamu zangu za jana
hahahaha.mtumishi yuko on fireKhaaa mtumishi
Where is wifey jamani?
Simuoni and.... I miss her.
Nipo confused hapa hadi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha chama pale shinani
Anaimba wimbo wa Alikiba huyo kakaπ€£π€£π€£.kipara acha fix basiii πππ
wa hivi huwa wana noga sanaaaa...
Mtumishi naona amebugia nyagihahahaha.mtumishi yuko on fire
Ngoja nijiandae kununua suti Kwanza,kisha nitafute wife,siku akitaka isiwe shidasiku wife wako akitaka kuvaa utavaaa tu
ππ ndio mie huyo kuanzia juu hadi chini.. ndio maana mnaniona katoto.. kha.. hapo kazini bwanaaaa.. unaogeleaje hapo umevaa hivyoUmeenda kuogelea? Natumaini sio ya kudanilodi
Mbona mchana nilikuwa nae [emoji849][emoji849]
na wewe huna wife kumbe ππNgoja nijiandae kununua suti Kwanza,kisha nitafute wife,siku akitaka isiwe shida
hahahaha.katisha sanaMtumishi naona amebugia nyagi
Sawa mtumishi[emoji3][emoji3] ndio mie huyo kuanzia juu hadi chini.. ndio maana mnaniona katoto.. kha.. hapo kazini bwanaaaa.. unaogeleaje hapo umevaa hivyo
anazingua plus ππKwa hiyo ananizuga hapa?
mtumishi wa moto πhahahaha.mtumishi yuko on fire
Haki we kaka mchana umeniona mimi hapa?Mbona mchana nilikuwa nae [emoji849][emoji849]
Leo nilitaka nisiguse humu.
Yaani nyie watu bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HS ,wapambe wenzako na shemeji yenu Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]