Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa maana isiyo rasmi ni kiwingu..acha kutia kiwingu🀣🀣
Hahahah kumbe, basi pisi leo imenitilia boonge ya ukuda
Pole Ninakuwaga na button ya mwandiko wa kisela πŸ˜€.ninamiandiko miwili huu wa kisela na wa kimama inategemea na mazingira
Sina shaka hili litakua linamkosha sana baba mtumishi mwenzangu huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…