M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jan 17, 2022 #138,421 Ona huyu said: Eeh humu uwa kuna vocha ni ya aina gani ili niwe nachungulia mida yote na saa ngapi huwa inatupiwa watu tupate bando hapa Click to expand... Ona huyu naye......! Hakikisha hubanduki hapa kwanza selfika
Ona huyu said: Eeh humu uwa kuna vocha ni ya aina gani ili niwe nachungulia mida yote na saa ngapi huwa inatupiwa watu tupate bando hapa Click to expand... Ona huyu naye......! Hakikisha hubanduki hapa kwanza selfika
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Jan 17, 2022 #138,422 mawardat said: Nakuona kama kitabu kizuri Kilichoshaheni,hadithi nzuri za mapenzi Ukanifanya mimi siwezi,kula kulala mpaka nikuone Nikufunue nikusome ndo nipate usingiziView attachment 2084753 Click to expand... Mmmmmmmmh
mawardat said: Nakuona kama kitabu kizuri Kilichoshaheni,hadithi nzuri za mapenzi Ukanifanya mimi siwezi,kula kulala mpaka nikuone Nikufunue nikusome ndo nipate usingiziView attachment 2084753 Click to expand... Mmmmmmmmh
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,255 Jan 17, 2022 #138,423 Ona huyu said: Mkuu update simu naona imekuletea na taarifa Click to expand... ?
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jan 17, 2022 #138,424 Mjep said: Ona huyu naye......! Hakikisha hubanduki hapa kwanza selfika Click to expand... Jamani ni. Mida gani hiyo
Mjep said: Ona huyu naye......! Hakikisha hubanduki hapa kwanza selfika Click to expand... Jamani ni. Mida gani hiyo
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Jan 17, 2022 #138,425 mtu chake said: Heri ya mwaka mpya rafiki (Makiwendo Click to expand... Heri ya Mwaka Mpya kwetu sote Rafiki... 2022 Baraka tele.. Sent using Jamii Forums mobile app
mtu chake said: Heri ya mwaka mpya rafiki (Makiwendo Click to expand... Heri ya Mwaka Mpya kwetu sote Rafiki... 2022 Baraka tele.. Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,426 Ona huyu said: Jamani ni. Mida gani hiyo Click to expand... Saa na muda usioujua vocha zinapita kama mwivi.
Ona huyu said: Jamani ni. Mida gani hiyo Click to expand... Saa na muda usioujua vocha zinapita kama mwivi.
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jan 17, 2022 #138,427 Saint Anne said: Saa na muda usioujua vocha zinapita kama mwivi. Click to expand... Mh! Aya kwani ni kila siku au kuna siku imepangwa maana mi mgeni jukwaa lenu hili la selfie
Saint Anne said: Saa na muda usioujua vocha zinapita kama mwivi. Click to expand... Mh! Aya kwani ni kila siku au kuna siku imepangwa maana mi mgeni jukwaa lenu hili la selfie
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,428 Ona huyu said: Mh! Aya kwani ni kila siku au kuna siku imepangwa maana mi mgeni jukwaa lenu hili la selfie Click to expand... Zinapita kama mwivi mkuu. Mwizi huwa anakupa ratiba maalum ya kuja kuiba?
Ona huyu said: Mh! Aya kwani ni kila siku au kuna siku imepangwa maana mi mgeni jukwaa lenu hili la selfie Click to expand... Zinapita kama mwivi mkuu. Mwizi huwa anakupa ratiba maalum ya kuja kuiba?
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jan 17, 2022 #138,429 Saint Anne said: Zinapita kama mwivi mkuu. Mwizi huwa anakupa ratiba maalum ya kuja kuiba? Click to expand... Asee nikae attention tu humu kingine mnachochangia humu ni nini yani selfi na jf au vitu gani vinavyoongelewa humu
Saint Anne said: Zinapita kama mwivi mkuu. Mwizi huwa anakupa ratiba maalum ya kuja kuiba? Click to expand... Asee nikae attention tu humu kingine mnachochangia humu ni nini yani selfi na jf au vitu gani vinavyoongelewa humu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,430 Ona huyu said: Asee nikae attention tu humu kingine mnachochangia humu ni nini yani selfi na jf au vitu gani vinavyoongelewa humu Click to expand... Picha,stori mbalimbali zipo humu. Tunachitchatika mkuu. Ukiwa unapenda vocha kama mimi basi unakaa mguu pande. Ila nikama betting tu,unaeza ukae na usiipate.
Ona huyu said: Asee nikae attention tu humu kingine mnachochangia humu ni nini yani selfi na jf au vitu gani vinavyoongelewa humu Click to expand... Picha,stori mbalimbali zipo humu. Tunachitchatika mkuu. Ukiwa unapenda vocha kama mimi basi unakaa mguu pande. Ila nikama betting tu,unaeza ukae na usiipate.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 17, 2022 #138,431 Makiwendo said: Heri ya Mwaka Mpya kwetu sote Rafiki... 2022 Baraka tele.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... safi rafiki.karibu sana,tupia moja selfie
Makiwendo said: Heri ya Mwaka Mpya kwetu sote Rafiki... 2022 Baraka tele.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... safi rafiki.karibu sana,tupia moja selfie
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,624 Jan 17, 2022 #138,432 Saint Anne said: Kweli maisha yanabadilika Elli umeona picha,mimi nimepitwa!! Click to expand... Ni bahati tu!
Saint Anne said: Kweli maisha yanabadilika Elli umeona picha,mimi nimepitwa!! Click to expand... Ni bahati tu!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,433 ERoni said: Ni bahati tu! Click to expand... Yaani😂 Kweli bahati ya leo imekuwa ya kibabe
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jan 17, 2022 #138,434 Ilibidi nizime simu kwa muda. Anne amepiga mara 12 Mjep said: Ona huyu naye......! Hakikisha hubanduki hapa kwanza selfika Click to expand...
Ilibidi nizime simu kwa muda. Anne amepiga mara 12 Mjep said: Ona huyu naye......! Hakikisha hubanduki hapa kwanza selfika Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,435 Heaven Sent said: Ilibidi nizime simu kwa muda. Anne amepiga mara 12 Click to expand... Subiri usiku ntakavyopiga. Leo hutalala kabisa🤣🤣🤣🤣
Heaven Sent said: Ilibidi nizime simu kwa muda. Anne amepiga mara 12 Click to expand... Subiri usiku ntakavyopiga. Leo hutalala kabisa🤣🤣🤣🤣
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Jan 17, 2022 #138,436 mtu chake said: safi rafiki.karibu sana,tupia moja selfie Click to expand... Ahsante Rafiki... Kumbukumbu zangu zinaniambia hujawahi kuweka Selfie yako humu.. Hebu Ibariki kwanza hii J3, halafu niweke mzigo wa kutosha hapa Sent using Jamii Forums mobile app
mtu chake said: safi rafiki.karibu sana,tupia moja selfie Click to expand... Ahsante Rafiki... Kumbukumbu zangu zinaniambia hujawahi kuweka Selfie yako humu.. Hebu Ibariki kwanza hii J3, halafu niweke mzigo wa kutosha hapa Sent using Jamii Forums mobile app
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,255 Jan 17, 2022 #138,437 Kama pete yangu, inakuchomaa kidoleni Ni Kama pendo langu, Linakuchoma moyoni, Bora kuitoa aaah aah, Pendo kulivua aaah, Bora kuitoa, Moyoni mwangu Mi nisiteseke.
Kama pete yangu, inakuchomaa kidoleni Ni Kama pendo langu, Linakuchoma moyoni, Bora kuitoa aaah aah, Pendo kulivua aaah, Bora kuitoa, Moyoni mwangu Mi nisiteseke.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 17, 2022 #138,438 Makiwendo said: Ahsante Rafiki... Kumbukumbu zangu zinaniambia hujawahi kuweka Selfie yako humu.. Hebu Ibariki kwanza hii J3, halafu niweke mzigo wa kutosha hapa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hahahaha dah umeniwahi.umenipiga za chembe. Jana usiku niliweka nikatoa
Makiwendo said: Ahsante Rafiki... Kumbukumbu zangu zinaniambia hujawahi kuweka Selfie yako humu.. Hebu Ibariki kwanza hii J3, halafu niweke mzigo wa kutosha hapa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hahahaha dah umeniwahi.umenipiga za chembe. Jana usiku niliweka nikatoa
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,255 Jan 17, 2022 #138,439 T 1990 ELY said: Mmmmmmmmh Click to expand... Karibu
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jan 17, 2022 #138,440 Heaven Sent said: Ilibidi nizime simu kwa muda. Anne amepiga mara 12 Click to expand... Muonee huruma mama mchungaji🤣
Heaven Sent said: Ilibidi nizime simu kwa muda. Anne amepiga mara 12 Click to expand... Muonee huruma mama mchungaji🤣