Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi ni kweli kwamba anaetumia pombe ni mwenye dhambi kuliko wote, au kweli maovu yote chanzo chake ni pombe?
Hoja yako hiyo umeitolea wapi??
Nani alikwambia hivyo?
Mimi sipo kuongelea ubora.


Ila ukitaka niongelee ubora nitakuambia hivi;
"Msifanye chochote kwa moyo wa fitina au kwa majivuno ya bure;Muwe na unyenyekevu nyinyi kwa nyinyi,na kila mmoja amwone mwenzake kuwa bora kuliko yeye mwenyewe"
Filip 2:3-7
 
Pambania mahondaw kwanzaaa 😃😃
 
Selfika kwanza fasta, hizi habari ni hadithi tu. Yani mtu mweupe aliamua kumdanganya mtu mweusi ili amtawale...

...halafu ikaja dini kutuvuruga, yaani tumevurugwa sio poa! Kila mtu anajiona sahihi kuliko mwingine, dini yake ni ya kweli na ya haki kuliko ya mwenzake...

Anne unaamini ukifa unaenda wapi?
 
Najiandaa kwenda Mbinguni
Yesu yupo kutuandalia makao huko.

.....
Niliselfika jana Eli,hukuona?
 
Wapendwa moja ya eneo lililo tuletea matabaka Africa ni dini,yaani mipasuko mingi imeanzia hapo,ukiwaangalia walioleta wala hawana time nayo.
Tujikumbeshe tu kabla ya hizi dini kulikuwa na maisha yetu yanaendelea,mimi na wewe tuwe mabalozi wazuri wa kuzambaza upendo badala ya hukumu.

Dini sio kabila,unaweza kuhama na maisha yakaendelea,tujifunze kuwa na Imani ndio msingi wa mambo yote maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…