Ohooo.. Navitabu vyake vingi sana huyu.. vinahitaji akili ya rohoni πππ ni mwalimu wangu since kitambo sanaa around 2012.. nimeanza kula shule zake
Mungu akawe forced kutujibu maombi yetu this year. Tusiombe maombi ambayo yatakosa kibali mbele za Mungu; tumpe hoja zenye nguvu akajikute hana option nyingine zaidi ya kutujibu.