Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuhusu hilo ondoa shaka Chakorii, tupi serious, wana mwanza tumempa zawadi na maagizo yote bwana T 1990 ELY alafu kama ujuavyo hakunaga watu wa kwetu walio janjanja.. tukisema yes ni yes 😊😊😊

C. C T 1990 ELY
We jidai tu hapo utaisafirisha hiyo zawadi Mpaka Kwa daddy sitakagi mchezo ohooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…