Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kumbe Tukuyu tuna mahandsome wa kutosha na hawasemi
Eee baba na wewe umeanza kuupiga wa kupaa kama serekali ya mbogamboga???Yeah najua, and..... I am here to help!
Kikubwa sana ulitaka kujua kama Klopp amepona.
Updates hizi hapa
________
Source: The Athetic
Weee usinambie🤗Huwezi amini nimemwangalia vizuri, kuna mdogo angu wamefanana mnoo na hizo dimples, kasoro tu karangi. Tununu fijo[emoji38][emoji38][emoji38]
🙈🙈🙈Ohoo my G🥰🥰🥰🥰
Those dimples baba yeuyeeee🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Halafu ile shati umevaa imekaa kipendwa sana.🙈🙈🙈
Aibu naona mimi 😊😊
🤣🤣🤣 Handsome wapi kawaida tu Nkamu, thanks though.😍😍😍
Nkamu kumbe handsome sana hivyo jamani na unashindwa khwekaga picha siku zote🔥.
Asante sana...nakuja kuomba ya bila emoji baadaye.
Wasalimie watoto waleee nyuma.
Achana Na aibu..unakaa mcute sana 🥸🙈🙈🙈
Aibu naona mimi 😊😊
🤣🤣🤣Halafu ile shati umevaa imekaa kipendwa sana.
Siyo siri,umetukosha watumishi...kama Luther vile🔥
Najaribu kugongelea 🔨🔨Halafu ile shati umevaa imekaa kipendwa sana.
Siyo siri,umetukosha watumishi...kama Luther vile🔥
Aiseee🤣🤣🤣 Handsome wapi kawaida tu Nkamu, thanks though.
Karibu PM.
My uncles, salamu zimewafikia.
Punguza ukudahapajolawana kweli 😎😎😎
Hii yote kwa heshima yako nkamu gwangu, my first ever selfie in this thread [emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85]
View attachment 2072340
Au ndiyo maana umemuweka Luther ?!?🤣🤣🤣
Kama Luther tena!!! Shukrani sana Nkamu.
No, Ni coincidence tu, thanks much tena na tena.Au ndiyo maana umemuweka Luther ?!?
Mimi nimeipenda shati .
E yupi tena????!!!!Umefanana na E[emoji1787][emoji1787]
Uwe unaselfika sasa mkuu.No, Ni coincidence tu, thanks much tena na tena.