kwa wale wanaolijua vizuri jiji la mwanza washajua hii ni view toka kiwanja gani.
hii ni jana mida ya alasiri.
unaweza kutaja jina la kimiminika kinachoonekana kwenye glass?. ukipatia nakuunga kwenye bandle la 2GB la mtandao wowote wa simu unaotumia katika data hapa tanzania.
View attachment 1227989
Kuna watu mtakuja kupigwa mvua 30 kwa kutembea na madenti nyie chezeni tu. Kama huyu ndiyo Depal basi ni wazi kuwa ni denti. [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji3][emoji3][emoji3][emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 1227978View attachment 1227979
Jizazi [emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1227969 Mvua hizi
Still that's not a guarantee bebee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa sura si haipo?
Saa 9 usiku. Rudi kulala ukue please [emoji16][emoji16][emoji16]Ndioooo
🙇🙇Saa 9 usiku. Rudi kulala ukue please [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahaOhoo usidanganyike na panga butu hilo
Safi Sana
[emoji2][emoji2][emoji2]Ohoo usidanganyike na panga butu hilo
Good morning..
Hello guyzGood morning [emoji559]
Dulimhola ng'wanangwa. Sebha Akujiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mle mhola? Habarini wapendwa