Tunatofautiana sana, wife wangu hawezi kupiga hiyo picha awe peke yake au beach hata iwe ufukwe wa wapi hawezi kwa vile anajua kitakachotokea baada ya hapo.
Katika simu yako, bila shaka watumia smartphone, katika phone keyboard ukiwa katika typing mode, hebu jaribu check sehemu ya emoji (huwa kawaida inawakilishwa na kisura kinachotabasamu huwa mstari wa chini kabisa baada ya herufi zote)...