Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
Haya Mama Mchungaji. Miamala inazidi kuongezeka. Leo pengine tutabahatisha. Fingers crossed![emoji1545]Na mimi nimeshaandaa hapa muamala wa kutosha mama mchungaji........
Shusha mzigo
Mtumishi ngoja basi harambee iongezeke; ili nifanye u-yuda vizuri
Haya Mama Mchungaji. Miamala inazidi kuongezeka. Leo pengine tutabahatisha. Fingers crossed![emoji1545]
Haya Mama Mchungaji. Ubarikiwe [emoji1545][emoji1545][emoji42][emoji42][emoji42]Mbele ya miamala tena, hakuna gumu
[emoji23][emoji23]Saint Anne hujambo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2061431View attachment 2061432
Ndiyo nkamu, ila nimeteremka Busokelo kidogo
Cha muhimu tu msisahau kuselfika. Ukiweza kumselfisha Mama Mchungaji nitakupa zawadi ai promisi! [emoji16][emoji16][emoji16]
Yes! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3059][emoji3059]
Aisee!! Wakubwa wanakaa pazuri[emoji39]
Mimi mguu tu hoi [emoji39]
Mwana na mie