Selfika na JF: Snap it. Show it

Akaunti yako imewatingisha wajukuu zangu mpaka wamenikana yaani. US $14,980 - milioni karibia 35 za Kibongo si mchezo. Tena si ajabu hii ni akaunti yako tu ya matumizi madogo madogo. Ukiwawekea na akaunti ya biashara yenye $15,000,000+ sasa sijui itakuwaje...

Wachukue tu hawa wajukuu bana. Cha muhimu tu uwatunze na kuwaangalia vizuri. Pesa mwanaharamu kabisa!
 
Uncle wangu ananiuliza nna excuse gani ya kutotaka kwenda home for Christmas....sijui nimtumie hii [emoji16][emoji16]
Naongezea tu I really care about you guys! [emoji849]
Ni sababu nzuri kwa kweli. Ila sema sasa kama ni wazee-vijana wataona tu unazingua [emoji16]

Ila kwa Mchaga kutokwenda migombani umezingua aisee tena sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…