Mnaokwenda vijijini kusherehekea Krismasi na mwaka mpya. Serikali inawaasa muwalinde wazee huko vijijini. Msiwapelekee haya mafua na homa zilizotamalaki mijini
Unafuta haraka mno. Yaani nimeacha simu kwenye mkweche wangu na kuingia dukani kununua K-Vant dakika 2 tu nakuta picha ilishawekwa na kufutwa. Siyo fair bana kha!
Jitahidi angalau iwe nusu saa hivi kabla hujafuta!