Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,535
- 235,283
Dah[emoji38]Ndiyo zenu nyie hata Anne nilikuwa mbeya mfikamo nikwambie akuje akanipiga sound au mnaogoapa?
Ngoja tuone Njombe kama wanayo πNiletee maparachichi
Muda ulikuwa umeenda sana ,Hapana bana, si unajua wakati mwingine majukumu tu, na wakati mwingine ndiyo hivi tunapishana tu mikoa. Tena kwa Anne, itakuwa hakuwepo huko au alitingwa
Tunamkaribisha tena.Baridi njema mgeni wetu. Tusamehe bana, tumekuangusha kwenye suala la ukarimu this time. Tatizo wenyeji tulihamia Bagamoyo kidogo; next time, utasimulia ukarimu wetu
Hii part ilinichekesha sanaEnhe ndiyo huo huo niliokuwa nausemea daah nimecheka leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumogheleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ohh... poleni kwa safari. Karibu uje usalimie na daslam. Sisi huku ni wakarimuThanks sumbai
Tumefika salama [emoji846]
Amen. Mniombee nikiwa mkubwa nikuwe kwa maadili mema.Ushindwe katika Jina la Yesu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani π₯΄π₯΄π₯΄Baridi njema mgeni wetu. Tusamehe bana, tumekuangusha kwenye suala la ukarimu this time. Tatizo wenyeji tulihamia Bagamoyo kidogo; next time, utasimulia ukarimu wetu
π€£π€£π€£π€£π€£Nimemiss bangi la njobeee kinomaaa.
Valeeπ€£Halafu mtakatifu sijasahau ujue
Umenimiss eh[emoji4]Valee[emoji1787]
πππOhh... poleni kwa safari. Karibu uje usalimie na daslam. Sisi huku ni wakarimu
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Sku nyingi sijakuona jukwaaanUmenimiss eh[emoji4]
Hahaa aliekuficha mwambie aongeze kasiSku nyingi sijakuona jukwaaan
Zimefikaa, πHahaa aliekuficha mwambie aongeze kasi
Ngoja tuone Njombe kama wanayo [emoji846]
Dah[emoji38]
Usiku ni changamoto kutoka,wengine tunaishi na wazazi na tunatreatiwa kama watoto.
Saa 12 kamili uwepo nyumbani[emoji846]