Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaweza kuwa diamond
Unaweza kuwa jay
Unaweza kuwa jaydee
Unaweza kuwa Ray

Elimu ngao yako
Kipaji mali yako.


Wakati wako ndiyo leo
Kutimiza malengo yako
Nakusihi anza sasa
Jishughulishe utapata.


Jamaa kabla halijaslim na kuolewa kenya lilikuwa kali sana kwenye mistari.

Benard Paul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…