Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee
 
Hahaa kwani hizo kazi zina nini mbona nyepesi tu [emoji2][emoji2]
Mimi naona ngumu sana japo najitahidi kufanya ila kupika kunaniumiza sana afu nikiangalia sipendi kula vyakula vya mgahawani ikifika jioni kichwa kinaanza kuuma naenda kupika nini leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…