π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kuna kitabu nitakupasia ' how to survive/ enjoy the whole December with laki 1.Nawaza hapa, vile December itapitaje na matumizi yake..vile January itapitaje na majukumu yake.. usingizi ukakata[emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kunipasia tu, huenda ukaokoa pakubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna kitabu nitakupasia ' how to survive/ enjoy the whole December with laki 1.
Americano inategemea na nani fundi.. wachache sana wanaweza tengeneza Americano.. wewe hapo umepigwa ndio maana waona inafanana na instant coffee, hunitokeaga hii narudiasha watengeneze upya huku nawapa darasaWeuh I love cappuccino, the so called americano sijaona utofauti wake na africafe instant coffee
ππππ Mrukie mwenzako kifuani why upate taabuuu wakti T 1990 ELY yupo pembeni yakoKijana wa hovyo hovyo
Ni hii americano ndiyo imenikosesha usingizi hivi??
Mbona cappuccino uwa hainitendi hivi.
I'm trying my best to fall asleep lakini wapiiii...
mnatunyanyasa na na ndugu yangu Satoh Hirosh ... kututaka hamtutaki mnabaki mnatutamanisha π°π°For your night shift.... Au wataka kalad? Satoh Hirosh View attachment 2027569
I love that tension mkuu. Ila sitosahau siku Moja.......Au kile kipindi mwalimu anaita karatasi kuanzia marks ya chini hadi ya juu.
Zikibaki chache chache hata 5 za mwisho malegendary vipanga roho zinaenda mbio,,wanawaza ya nani itakuwa ya mwisho.
asubuhi asubuhi jamani dah [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Rangi ya mtumeee [emoji39][emoji39][emoji39]
Tatizo lako unaziba sn Sura bn.Mimi sijaenjoy kbs maana sijakuona..Toa hayo makorokoro usoni kisha picha irudiweππFor your night shift.... Au wataka kalad? Satoh Hirosh View attachment 2027569
Unachekesha π€£Tatizo lako unaziba sn Sura bn.Mimi sijaenjoy kbs maana sijakuona..Toa hayo makorokoro usoni kisha picha irudiweππ
Huyu D ana makusudi sn aseemnatunyanyasa na na ndugu yangu Satoh Hirosh ... kututaka hamtutaki mnabaki mnatutamanisha π°π°
We sema Tu nachekesha Ila Mimi silali Hadi nione picha imepostiwaUnachekesha π€£
Huyo T 1990 ELY usimtaje bn mbele yangu roho inaniuma sn jinsi anavyoenjoy penzi la mtoto Depal ..sichelewi kujinyonga Mimiππππ Mrukie mwenzako kifuani why upate taabuuu wakti T 1990 ELY yupo pembeni yako
Satoh Hirosh
Waoooh π₯°π₯°
Hii picha nimeidanlodi Kwa matumiza ya baadaeππ
Ushaifuta dah![emoji16][emoji16]