T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,106
- 30,520
Kwani hujachukua fomu pendwa ya kujiunga na chama letu pendwa mkuu?Sie vijana tulio single zinatupa sana taabu, acha nikanywe tangawizi kijiweni pale ndio life letu
Wacha hizo Lizzy bhanaa hahahahaahahahaππ
Well.....mi natamani zaidi zile unazokunywaga Turkey, Egypt (or was it Morroco π€π€)....Middle East and the likes π€€π€€
Upo hapa ndiyo ila sikutafutii hapa.....Nipo hapa, niambie?
Hili neno, acha nijaze form ... mnipe utaratibu wazuri wenyewe hatutaki wabaya wanatukimbia πππKwani hujachukua fomu pendwa ya kujiunga na chama letu pendwa mkuu?
Chukua fomu ufata maelekezo ujaze ujiunge na chama letu la CHAPUTA
HahahaahhaahahahahahSatoh Hirosh mnyonge mwenzangu tunaishije aseeπΏπΏπΏ
Duh!!!
Sisi wanyonge mkuu wacha ninyamaze tu
mvua ya dar ikikuotea unaweza lala njaaa asee, ππππ huwa ina sifaa sanaHahahaahhaahahahahah
Na naskia dasalama imenyesha sana
Duh! Sio fairTunanenepa vyura.
Sheikh ni kwema kabisa pande hiziSheikh kwemaaaa???
Hii si ni hatari hii
CC The MonkDah! acha tutafute hela na magari na magheto mazuri labda tutabahatisha na mwenzangu Satoh Hirosh
Sheikh naona unatambaa nazo mdo mdo hahaha
Na wewe upo kwenye team yetu na Satoh Hirosh sie jf ndio hatu manyumba, hatuna magari na hatuna pesaaa hakuna hata anae tuelewa yaaniDuh!!!
Sisi wanyonge mkuu wacha ninyamaze tu
anaandaa katiba ili badae achukue sheria mkononiSheikh naona unatambaa nazo mdo mdo hahaha
Mhh hatari mkuu!...nipo DM najaribu kuimbisha anielewe(jokes)
nyie matajiri mtarushiana chapNina mafua
Mtu ajitolee aninunulie dawa 'nyagi kubwa...
mvua ya dar ikikuotea unaweza lala njaaa asee, ππππ huwa ina sifaa sana
Nawewe tunaomba picha zako!Jamani ondoeni emojiiiii
Haha..Sheikh natambaa nazo mdo mdo aiseeeee!!Sheikh naona unatambaa nazo mdo mdo hahaha