Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Wanacheza na moto.Shauri yenu ,mabadiliko ya umri yakiwanyemelea mtajisemea bora ningeukubali udogo wangu
Yaani ufikishe 76? Nakubishia hadi asubuhi 76 su mchezo ujueWanacheza na moto.
Desemba mwaka huu nagonga 76. Kila kiungo cha mwili kinauma yaani. Huwa nashangaa sana nikiona watu wakijifanya eti wazee. Uzee siyo lelemama!
Bado mdogo wangu sn🤣Under what?? Aisee nakaribia 35 mkuu.
Thank you lkn👍
Birthday yangu December nimepanga kujiripua hapa laivu. Utaona!Yaani ufikishe 76? Nakubishia hadi asubuhi 76 su mchezo ujue
Kweli mkuu, i can't wait to see you ila 76 hujafika wala huikaribiiBirthday yangu December nimepanga kujiripua hapa laivu. Utaona!
Hi saulimeti, hilo guu lisikutishe ni picha tu lipo kawaida na lina bonge la tege😀😀
Alafu wewe na mwenzio Depal mnapenda kuongeza namba sn za miaka..kuna watu wanatafuta wake humu.Mnaweza kujikuta mnapiga Teke bakuli za dhahabu maana ukishasema miaka 35 mtu anajua maji ya jioni hayo kbe kabinti Tu Ka miaka 23Under what?? Aisee nakaribia 35 mkuu.
Thank you lkn👍
Haya basi sisi tumetimiza 19yrs mwezi huu, umefurahi sasa🤔 wanaotafuta mke au mme hawaangalii umri wanaangalia upendo zaidi🤪Alafu wewe na mwenzio Depal mnapenda kuongeza namba sn za miaka..kuna watu wanatafuta wake humu.Mnaweza kujikuta mnapiga Teke bakuli za dhahabu maana ukishasema miaka 35 mtu anajua maji ya jioni hayo kbe kabinti Tu Ka miaka 23
Me sipendi ukorofiiii huoooo🤣
Highway jam 🤣Kwanini utumie mchepuko wakati highway ipoo?
DogoAlafu wewe na mwenzio Depal mnapenda kuongeza namba sn za miaka..kuna watu wanatafuta wake humu.Mnaweza kujikuta mnapiga Teke bakuli za dhahabu maana ukishasema miaka 35 mtu anajua maji ya jioni hayo kbe kabinti Tu Ka miaka 23
Me sipendi ukorofiiii huoooo🤣
Nehi..Siyo kweli kabisa😁Haya basi sisi tumetimiza 19yrs mwezi huu, umefurahi sasa🤔 wanaotafuta mke au mme hawaangalii umri wanaangalia upendo zaidi🤪
Asanteee and Happy belated birthday to you fellow #saggitarius 🥳🥳Tunashare mwez 1
Mm 22/11
Hbd to you
Yaani we katoto inabidi uanze kuniamkia kutwa mara 3 kama dozi, jf ina vitoto hii🤭🙌
Hpn..unajidanganya sn,Niko 30+,nikuambie Siri ya kuwa forever young?Yaani we katoto inabidi uanze kuniamkia kutwa mara 3 kama dozi, jf ina vitoto hii
Ngosha mimi siyo baharia bana.I was just born to love.Anyway mwabeja sana ndoho taabu.Kwa mabaharia everything is expected
Wabeja nkoyi.Ngosha mimi siyo baharia bana.I was just born to love.Anyway mwabeja sana ndoho taabu.
Dogo uwe unasalimia jamani
Nehi..Siyo kweli kabisa😁
Yani nikaoe mwanamke wa miaka 38 eti kisa ana upendo!!?
Miaka 38 anatakiwa awe na mwanaume mstaafu wawe wanapanga namna ya kutumia pesa za mafao,maana Kwa umri huo Tyr anakaribia menopause.
Umri huo wanakuwa bize kuwasha redio saa 6 za usiku kusikiliza vipindi vya chumbani,kuomba ushauri Kwa doctor maana anachelewa sn kulowana akiwa faragha,Hadi anapata michubuko😁😁, Doctor anmjibu awe anatumia bamia na nyanya chungu Kwa wingi,pia asisahau vipipi vya Zanzibar
Sasa Mimi na ujana huu ndy nikaoe wa miaka hiyo kweli FS? Jua linichome,nguvu za kiume zinisumbue nikirudi nyumbani mke nae matatizo rundo wakati wa kugegeda🤣🤣..kisa UPENDO!!
Ngoja Kwanza nikomae na kuku wa kienyeji under 25 huku mwananyamala Kwa njunju..Nikifika levo za kuitwa mstaafu nitatafuta hao above 35 wenye UPENDO 🤣