Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa nitaitafuta next weekend nikiwa nimetulia.

Nkamu nitakuorodheshea za usiku, mchana, za Outing ,za kidate[emoji85].

Nukia Nkamu..,kunukia kuna raha yake bwana...tena ukiwa nazo nyingi utakaa nazo sana,
 
[emoji120][emoji120]
Ewaaa,
Siku naenda Kwa shemeji yako nanukia kimahaba mahaba.

Wacha tunukie,maisha ndio hayahaya[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…