Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaaa kwamba haujawahi kabisa kuniona Shimba
Ndo mara yangu ya kwanza hii ai swea. Uko unique sana na kila siku nilikuwa natamani kuona japo kiwiko. Siku ile niliishia kuona nguo za kazi tu. Leo angalau afadhali umejitahidi sana. Siku moja ujitahidi uondoe na hicho kitambaa kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…