Queen of Rhumba jitahidi upate nyimbo za madilu systema, Nyboma, Ferre gola na Luambo Mikiadi utanishukuru sana mtaalamu…
Kuna nyimbo yake moja inaitwa Mayaval ina ujunbe mzuri sana kuhusu huyu mayaval alitoka na mme wa rafiki yake, hawa wa ubavuni mwetu huwa wana vitimbwi sana