Visit Rwanda[emoji2]Pale holiday inapokuwa haina chenye tija...yaani upo upo tu!!View attachment 1979872
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti we jamaa![emoji16] Hujaona jezi ya chama la wana au ndio kujitoa ufaham tu!
Kesi ni kama tu hela umekula mwenyewe ππNichukue pesa halafu uje unikamate kwa kesi ya copyright na kutumia picha zako kufanya biashara? Nani anataka kadhia za kukaririshana PGO..
Kwenye somo la kumpanga mtu una A tena ya 98% , umeona photoshoot siwezi kupangika vyema, umeongeza na mishikaki.. haya bwana..
Visit Rwanda[emoji2
Ndio, visit Rwanda, karibu kwenye chama la kibabe!πVisit Rwanda[emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndio, visit Rwanda, karibu kwenye chama la kibabe![emoji23]
blaza blazaNdio, visit Rwanda, karibu kwenye chama la kibabe![emoji23]
sisi washika bunduki wa londoniPale holiday inapokuwa haina chenye tija...yaani upo upo tu!!View attachment 1979872
Mdogo wangu sijakuona mda sana!sisi washika bunduki wa londoni
hata mimi kakaMdogo wangu sijakuona mda sana!
Ok... Naiuza, kabla zijaiuza nitakutumia au nitaiweka hapa.. nikiwa kwenye mazingira ya kui accessKesi ni kama tu hela umekula mwenyewe ππ
Mchagga mie ukiniwekea hela mezani msamaha bure bure ππππ Kuweka msisitizo nim-quote Tory Lanez kabisa "Money makes me happy everytime I count it!" π€π€
Kuhusu kukupanga πππ Toa jibu kabisa nione kama nastahili hizo marks au ndo ushindi wa mezani ππ
Amen mkuu, Shukrani sana.Kwani umeingia job mchana huu?
InshaAllah, Allah akufanyie wepesi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani ni kuwasha Moto mpaka mtu annenda kuuliza kwa watu kukuhusu halafu wanamjibu huyo Dada/kaka hanaga ukorofi itakuwa umemchefua tu
Hizi picha sijui zitakuja lini Pm zikiwa 'fulu'Pale holiday inapokuwa haina chenye tija...yaani upo upo tu!!View attachment 1979872
I agree with you!!ππ Utadhani sio townπ€I think that Subway restaurant is so lonely. IMO
Nasubiria kuona hayo maajabu ππOk... Naiuza, kabla zijaiuza nitakutumia au nitaiweka hapa.. nikiwa kwenye mazingira ya kui access
Nakusikiliza sasa, we si ndiye mwenye ratibaπ, nipange sasa nipangike unafikiri nina jibu zaidi ya ndio..
Photoshoot na mishikaki juuππ, nani hapendi, nasubiri tu na kukusikiliza..