Natamani ikawe hivyo hivyo kwako na kuzidi zaidi ya kuzidi.
Nimepata kauzoefu kidogo kwenye ndoa, kwa kiasi fulani kuna changamoto zinazopita na kuja nyingine, tamanio langu wewe usikutane na hata moja pindi ukijaliwa, hata hivyo naomba kwa ajili yako.