Who dat??πO.M.G
Pale pale pa siku zote...sema leo ni morning shift [emoji846]View attachment 1969877
NDINDA PGO imezingatiwa.....
Umeacha ile ratiba yako ya kula kuduchu??
Who dat??[emoji854]
Atakayemuiba tutapambana.Mtakatifu babe wako kapendeza mpaka natamani nimuibe lol
ππππDuh, halafu we ndio maana kila nikiomba namba unanipa namba ya polisi. [emoji1787].
Dude....a little challenge can add up to the fun πI Have a thing with Gauni lenye vifungo hivyo, Conveniency and Accessibility [emoji41].
π π π π jamani usiniseme.Umeacha ile ratiba yako ya kula kuduchu??
Naona umeongezeka kwa kiasi.
Bia for breakfast au sio kijana wa hovyo πNimeumia sana mwanangu kupigwa nahilo jamaa lenye hips za kiunonii...
Acha nikanywe bia mbili tatu kujipozaaView attachment 1969882
πππah ngoja nami nimvute kwa maombi bana. Sharing is caring ujueAtakayemuiba tutapambana.
Namtunza kwa maombi na mtutu[emoji38].
Ndio ninaye huyohuyo jamani,tafadharini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekuwa chibonge mno [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamani usiniseme.
Sijaacha wala sijaongezeka sema pia sipungui maana nimekuwa mvivu sitembei...sifanyi mazoezi basi tabu tupu [emoji3061][emoji3061]
Anne ana wivu mno na babe wake [emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]ah ngoja nami nimvute kwa maombi bana. Sharing is caring ujue
Dude....a little challenge can add up to the fun [emoji41]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sa we hutaki namba ya ofisi???
Hiyo ni uhakika maana haizimwi wala haiwekwi Silent Mode [emoji6]
Kwa ulivotia huruma ngoja nikuachie mwayaAnne ana wivu mno na babe wake [emoji13][emoji13][emoji13]
Yaani macho yangu yote ndio yapo hapo jamani,msije niuwa kwa presha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2362]
Kichwa kigumu sana hiki[emoji28][emoji38]
Na unadrive vizuri tu[emoji23][emoji119]
Haki ya nani, itakuwa kichwa chako hakidaki hizo alcohol wanazodai zipo kwenye pombe.
Hahahaha yes mamiiii.....natoa lokii tu ndio nianze kunywa sasaBia for breakfast au sio kijana wa hovyo [emoji846]