Selfika na JF: Snap it. Show it

za chini chini
kuanzia january, member wote wa jf tunaanza kulipwa...
comment @ $1
like @ $ 0.5
kuanzisha thread @ $ 5, comment 1 katika thread ulioanzisha @ $ 0.5

mpaka sasa Mshana Jr kwenye, uzi wa Selfika pekee ambao una comments 111081 (111081 X $ 0.5 = $ 55540 )
hio ni sawa na 127,949,941.76 Tanzanian Shilling..., hapo ulipo anza kuhesabu comment zako na like..😛😛😀😀

mpaka sasa mkwepu jr sio mwenzetu tena, mkwepu popote ulipo anza kuhesabu like zako😀😀😀

muwakilishi wa jf anaupiga mwingi..., ni baada ya kupeleka maombi kwa Biden na Kamala Harris, hakusahau pia kupiga selfie...


yajayo yanafurahisha

Kuanzia sasa anzeni kutembeza like saanaaa, mkianza na hii post...
msije kusema sikuwaambia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…