Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimepita sokon Leo pale town manzese, yaan hawa bei chee kabisa dumla elf 6 af madafu yaan wabichii, nmenunua dumla 2,

Nimeshinda kutafuna wa iv iv bila kupika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan,[emoji23]wewe Kama miee

Mid nawatafuna tu,madafu Rana kuwatafuna tu sip kupika na nyanya sijui khaa[emoji41]
 
Yaan,[emoji23]wewe Kama miee

Mid nawatafuna tu,madafu Rana kuwatafuna tu sip kupika na nyanya sijui khaa[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dumla 2 kufka home nmekaa nazo jikon, natafnaa tyuuh, mom anashtka dagaa wamepungua San had kaniuliza jiko lipo tumbon kwangu, daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…