Wee kuachwa mchezo? Af sasa ukute jamaa umemuelewa kinyoko then unaachwa, just imagine?
Sina huo moyo wa kuvumilia had kuja mwingne, nahis tutagawana majengo ya serikali hakna namna,
Shem lako kanitania nimeanza kunenepa, mbna nshajistukia hapa, tayar diet na mazoezi ipo kweny utekelezaj, ikishndkana hapo utumbo na ukatwe tyuuh. Hakna namna