Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekununia kabisa mdogo wangu, haiwezekani utoke nduki bila taarifa watu tunakutafuta mpaka Kituo cha polisi hola.

Nilikumiss pia totoo! Haujambo lakini weye?
Mie sijambo sana mommah
, nlitoka nduki nlikua buzzy kdg nje ya JF, sasa nlivokuja kuwa sawa, nijoin huku nakuta nmepigwa kufuli
, af sijajua had now kosa langu lipi.

Kna kipindi nimepitaa hapa karibun nje ya JF, nlimic uwepo wako, hakika wee n bora San kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…