geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
mbona ww husemi napata shingap nikikufunga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...lete hata jez wwTutaona [emoji23][emoji23]
Nitakuwa hapa Stand kubwa kuisubiri maana hamm jipya nyie LA kushtua...
Kuna group la WhatsApp la hivi vyuma.
[emoji38][emoji38]
Ukisikia cheque number imefutwa nakuja kula kwenu.[emoji38][emoji38]
Safi sana.
Unaugeuza usiku kuwa mchana club..
Piga vyombo mkuu .
[emoji38]Ukisikia cheque number imefutwa nakuja kula kwenu.
Wamiliki wa bmw au?Kuna group la WhatsApp la hivi vyuma.
Bia ya ngapi mkuu...
Niseme nini wakati najua hamna kitu mtatoka nacho?mbona ww husemi napata shingap nikikufunga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...lete hata jez ww
tubet hapa tarehe 25
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Umejuaje aseeh? Ni zaidi ya rafiki huyu hata hii ni mashine yake rane nikienda dar lazima nipite kwake kutest mikono.
ππΎππΎππΎ
DaahKalale
Nilimwambia mimiDaah
and 100 others unatisha
nimeona kwenye likes and 100 other nikafikiri post imepata likes 100+
heee nikabofya niwaone hao 100 others mara inaleta and 100 others mwenyeweππ
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...sawaNiseme nini wakati najua hamna kitu mtatoka nacho?
Kaa kwa utulivu.
Best wapi hii kuna weather nzuri hivi?Mvua ya ghafla π€π€View attachment 1945813View attachment 1945814
Umeenda kutega madude yako
Mademu zako wote watanikimbilia nikiweka acha nivunge tuuu ππHoly Man njoo weka picha na wewe.
We ni li puuzi unajua π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mademu zako wote watanikimbilia nikiweka acha nivunge tuuu ππ