Duh, tumepisha tena , siku nyingine basi.
Kuhusu Dogo, Hapa panamfaa, Anaweza kuja kusherehekea siku yake hapa, anaweza kuogelea, anaweza pia kucheza kwenye playground.
Kwa michezo ya kufundishwa kuna Football , Karate, swimming etc.
Football session ni 60K per Month ( four sessions each One Hour) so Kila jumamosi lisaa limoja anafundishwa na Coach mzuri.
Fuatilia account yao ya Insta kujua zaidi.
View attachment 1933758