Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Hii sehemu vyombo vya moto huwa vinajiachia sana.View attachment 1898739Hapo ifisi naitafuta songwe nikitokea mbalizi
Unafanyaje?nipo hapa stand.
Nauza karanga mkuu.Unafanyaje?
[emoji4]Karanga! [emoji3][emoji3]
Asante
Hivi niliahidi picha! Nishasahau.. Ntaweka mwisho wa mwezi uso unakuwaga na tabasamu lisilo isha🤣Btw you're missed,una deni la picha hukulitimiza.
Mungu anakuona .Hivi niliahidi picha! Nishasahau.. Ntaweka mwisho wa mwezi uso unakuwaga na tabasamu lisilo isha[emoji1787]
Karanga gani za kuuza usiku?[emoji4]
Mbona umestuka?
[emoji23]Karanga gani za kuuza usiku?
Ntaweka usijali..Mungu anakuona .
Hiyo picha uliahidi tangu October mwaka jana.
Acha maneno weka picha.
Kumbe.. Sawa[emoji23]
Namaanisha kutwa nashinda stand kuuza karanga.,akipita mchana atanikuta,ndio mitaa yangu ya kujipatia Mia mbilimbili za karanga.
Si kwamba nauza karanga usiku.
Ohh.. Really, mkuu nashkuru sana ntakutafuta kesho mi nakaa mbalizi, huku nipo misele tu.Hii sehemu vyombo vya moto huwa vinajiachia sana.
Ni kipande kirefu halafu tambarale mno.
Karibu songwe mkuu,nipo hapa stand.
Lini utaweka?Ntaweka usijali..
Kumbe.. Sawa
Oh Kumbe jirani yangu.Ohh.. Really, mkuu nashkuru sana ntakutafuta kesho mi nakaa mbalizi, huku nipo misele tu.
Loli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
31/08/2021Lini utaweka?
Iwambi right?Oh Kumbe jirani yangu.
Mm nipo juu ya mbalizi.
Kheee leo umepiga umini? Weuweee 🔥