Furaha zetu ni kama kucha vidoleni na huzuni zetu ni kama vidoleThere are no better days kwenye hii dunia, kuna wakati nadhani huzuni ni nyingi kuliko furaha humu duniani, vile tu tunasahau sana
Mkuu mbona hiyo vyema ni kubwa sana?Kuna vita?
Verified[emoji23] [emoji1548][emoji1545][emoji1752]Mkuu mbona hiyo vyema ni kubwa sana?Kuna vita?
View attachment 1897967
Basi ukipata muda unitumie kamoja??
[emoji38]Hadi wewe unanikana?Acha kudanganya dogo
Nigawie raba
[emoji1][emoji1] Hii kali
Beauty.
Hapo ndio unakula au ni appetizer??
Kabisa mkuu! RFuraha zetu ni kama kucha vidoleni na huzuni zetu ni kama vidole
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Aiseee [emoji848][emoji848][emoji125]Last night ... View attachment 1896661
😆😆😆 ùnataka nipasuke??Hapo ndio unakula au ni appetizer??