Unataka nikuchore?Ni tattoo au back dimples piercing?
Changamoto hiyo mkuuNashukuru MUNGU chief naendelea vizuri kwa sasa
Kwema lakini mkuu
Unataka kuwa tattooed?Mkaka
Shikamoo unataka kuninyima nini mkuuππShikamoo mwenye taasisi zake nyeti
Mkuu kumbukumbu zangu zinaniambia mara ya mwisho kwenye kikao chetu mabaharia tulikubaliana hakuna kumnyima mrembo chochote akiomba ππShikamoo unataka kuninyima nini mkuuππ
Ana kitambi Kitamu lakini.[emoji851][emoji851]View attachment 1885917
Sasa vipi kunipa shikamoo mkuuππ siri ishajulikana sasa mtatukoma full kuomba dough + magari mazuri zuri mixer nauli + salon costs dahπMkuu kumbukumbu zangu zinaniambia mara ya mwisho kwenye kikao chetu mabaharia tulikubaliana hakuna kumnyima mrembo chochote akiomba ππ
Nyinyi ndo mnaruhusa ya kutunyima lakini usifanye hivyo si vizuri
Kwa muktadha huo usiwe na shaka mkuu
#niwaomberadhimabahariakutoasirizakikao#
Sio Chakorii kweli huyu???
ππππDah mboga malundo.. Ugali kiduchu[emoji3064][emoji31]
Ankali mtafute kwanza mtu anaependa milk ya taifa ndipo tupige vigelegele..unaonaje ankali wanguAnkal... Nataka tupige vigelegele b4 its too late..[emoji23]
Nilikutumia ankal lakini nilikuomba uitunze.mbona umekuja kumwaga humu tenaπ₯Ίπ₯ΊAnkal ulinitumia umesahau?[emoji23]
Na chura je??Ankali Chakorii ana titi la Taifa pia?πππ