Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkwema mkuu wangu unaendelwaje sasa mkuu
Pole kwa mara nyingine

Hiyo shikamoo nimeona imesiriba sana tehe.....
Vizuri sana kama ni kwema mkuu

Nashukuru MUNGU naendelea vizuri kwa sasa

Akhsante tena mkuu

Teh!!...eti shikamoo Ely

Depal njoo hapa ueleze kwa mkuu Mjep kuwa umetumia kigezo kipi sitahiki mpaka ukajiaminisha kunisalimia shikamoo?
 
Mbona uliitikikia? Vigezo vyangu ni kuwa nawapa shikamoo wanaume wote. 😂

Hutaki shikamoo yangu temana nayo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…