Maisha yana maajabu mengi na mojawapo ni hili la watu kuongea pekeyao achana na mazungumzo ya kimya achana na mawazo ya kawaida hiki ni kitu kilichojengwa katika wizara nyingine kabisa wizara ya mawazo halisia. Sio wendawazimu sio vichaa hawajarogwa hawajalewa ni watu wana akili zao timamu na...