Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna jamaa siku moja alipost kwenye mtandao wakijamii (facebook)kuomba ela elfu kumi yeyote mwenye nayo, akajitokeza dada mmoja wakachat akamtumia pesa kumbe jamaa alikua ni tajir alikua anatafuta mtu mwema yule jamaa akamtafuta yule dada na kumzawadia gari na nyumba yenye thaman ya sh mil 50, na akawa msaidizi wa bishara zake . Anyways kwa kufupisha story tu, nina shida ya elfu 50 kwa yeyote mwenye nayo"
 
hapa kuna 0.1% chance ya hili kutokea
 



Na Mimi naomba mwenye elfu 10 jamani.
Huwezi jua unamsaidia malaika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…