Please ikiwa unajua yatima katika chuo kikuu chochote cha umma ambaye yuko katika hatihati ya kuacha shule kwa sababu ya shida ya kifedha au mtu yeyote mwenye mazingira magumu sana, mwambie mtu huyo atume barua yake kwa: inspafrica@yahoo.com.
Sambaza ujumbe huu kwa vikundi vingine ili wengine wafaidike