Sukari ndio inaleta hao nzi.
Kuna mwanamke mwehu hapa ananifanyia kejeri. Ni beki tatu nyumba kubwa mimi Niko hii ndogo amefanya mitego yake i stayed cool, Kuna ndug yang alikuja hapa akamfuata wametongozana huko. Kazi iliyo baki ni kurushwa roho yani ananirusha roho hatari
Mara aweke loud speaker ni sikie ana ongea nae, Mara akiletewa zawad aniambie
Leo nimewakuta sehem wamekaa sikuwaona ameniita alaf akatoe bonge la cheko
Yan mimi wakurushwa roho kweli Mimi
inakeraa