Hahahahaha Utarudi tu kwenye himaya ni pito tu LA muda Wala Sina wasiwasiKaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanichukulia poa sana???
Unadhani muda wote tu najitoa ufahamu?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nanyoka na msimamo wangu huu mpaka ukamilifu wa dahari.
Baadaye hutaamini kabisa kama ni Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha Utarudi tu kwenye himaya ni pito tu LA muda Wala Sina wasiwasi
Kama nimetishika flan, sipendi kabisa kuuona huo upande wa pili nataka Ukiwa na side A unakua mzuriiiiiBaadaye hutaamini kabisa kama ni Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utauona upande wangu wa pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We si umezoea tu kuona ninavyojitoaga fahamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aww[emoji2960][emoji2960]Kama nimetishika flan, sipendi kabisa kuuona huo upande wa pili nataka Ukiwa na side A unakua mzuriiiii
Sikuogopi nakuheshimu mnooo, Usiku mwema Kwako pia unajua vile mekumissAww[emoji2960][emoji2960]
Kumbe hadi mimi najua kutisha watu[emoji38]
Ulisema hauniogopi lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukalale Sasa baba wajina.
Gudnight too mwanangu[emoji110]Sikuogopi nakuheshimu mnooo, Usiku mwema Kwako pia unajua vile mekumiss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gudnight too mwanangu[emoji110]
Ngoja mie nipate chochote kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
E bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinichekeshe Usiku nitaamsha mtoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]E bhana
Kauli zetu wanyonge[emoji23][emoji23]
Nimekwambia ulale wewe unaendelea kucheka huku,shauri zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinichekeshe Usiku nitaamsha mtoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ni moto inauma itabidi nizoee
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mambo ni moto inauma itabidi nizoee
Hana ubavu huo atakua kulewa tu kwako Yule beki hazikabi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Alitishia kujitoa jf..asije akawa amejitoa kweli mimi nikabaki single kwenye hili jukwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hana ubavu huo atakua kulewa tu kwako Yule beki hazikabi
Dah nimependa mazingira yako, hongera sanaa.
Matunda mie sipendagi kwa kweli,. Ila unajua kutengeneza mlo, [emoji39][emoji39][emoji39]We unataka nyama tu bila matunda?[emoji51][emoji51]