I know bro. Mamiili yetu haya yako complicated mno. Kakiungo kamoja tu kakipata mushkeli basi system nzima inaathirika. Nilisema hivyo kwa sababu ya age na ule ukweli kwamba we ni Seal Team 6.
Anyway, it is a manageable condition na ukiifuatilia vizuri unaweza hata kuachana nayo kabisa. Mungu Akuguse bro