T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,106
- 30,520
Hata kama ukiwa mahusianoniJe kama siko mapenzini jeeee!!!
Mtakatifu naomba ahadi yangu piemu tafwazali.mitambo ya sauti imeshakaa sawaHakikisha unaniambia leo kabla mengine hajakuvuruga kesho
Dah[emoji26]Hapana, kuvurugwa ni unplanned! Inatokea huwezi jua lini
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Je Na kama sikai mahusianoni jeeeHata kama ukiwa mahusianoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtakatifu naomba ahadi yangu piemu tafwazali.mitambo ya sauti imeshakaa sawa
Hakikisha sikukumbushi 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba muda kwanza .
Nikitulia nitakutajia
Ondoa Shaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakikisha sikukumbushi [emoji28][emoji28]
Nimeshaondoa mda snaa🤣🤣Ondoa Shaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bhasi utakuwa umesimama mapenzini/mahusianoni.Je Na kama sikai mahusianoni jeee
Nilipo ajuaye ni bwana .sio mapenzini wala mahusianoniBhasi utakuwa umesimama mapenzini/mahusianoni.
AminaNilipo ajuaye ni bwana .sio mapenzini wala mahusianoni
🥰🥰Amina
Karibu[emoji3059][emoji3059]
..mama wa guu la taifa! Hatari hii...[emoji3059][emoji3059]
Sinywi pombe niachieni mwali uyo😀Hahahaha
Kweli huyu binti wa kilokole nipewe mimi.
She's all yours![emoji56]Kweli huyu binti wa kilokole nipewe mimi.
Aje tunywe uji wa malimao🤣🤣🤣Kimbilia kwa crush!😄😄😄
Lakini me kwake bado crush sijaafiki na hili.
Crush mwenye vigezo vyake vyote[emoji56]Lakini me kwake bado crush sijaafiki na hili.