Chombezoβ¦β¦β¦β¦.BAO TATU ZA MGENI! Umriβ¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦..18+ Sehemu ya 1 Ngurumo na radi vilitawala,huku wingu zito likitanda,ilikuwa ni dalili kuwa muda wowote mvua itanyesha,tena siyo ya rasharasha ilikuwa ya uhakika! Muda huo ndiyo nilikuwa nimeshuka kwenye basi lililonileta mpaka Sumbawanga,ilikuwa...