B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Ngoja nikanywe maji mengi nitarudi.Simchoki
Nazidi mpenda kila siku.
Mimi huwa nahamishia attention yote kwa soulmate..yaani ataenjoy
Anakuwa ndiye rafiki,ndugu,mtani,kila kitu yaani[emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikanywe maji mengi nitarudi.
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Crush[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiondoke bwana
Ujalala tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malkia jr
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
sijalala.....mkwepu alikuja??Ujalala tu
2 berryMimi nataka kuwa nA we kuwa na wewe tu
Watu wananita zoba wanasema eti umeniroga
Hata kama wakichonga ujue bado mimi nakupenda
Old song[emoji7]
Sijui nani aliimba
ITV
Jack Palladino View attachment 1723200
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakunywa maji moyo uelee presha ishuke.
Hizi nyimbo za zamani nilikuwa nazijua sana..
Ngoja tumuulize Saint Anne eti mkwepu alikuja??sijalala.....mkwepu alikuja??
kama hakuja si nimekuja mimi?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
hakuja ingawa mimi sio st annie.....nicrush mimiNgoja tumuulize Saint Anne eti mkwepu alikuja??
Hajakuja[emoji23].lNgoja tumuulize Saint Anne eti mkwepu alikuja??
Tv imekaa juu sana.
Familia ikishakuwa na watoto hapo ndio mahala pa TV kukaaTv imekaa juu sana.
Macho yangu yashakua mazitoFamilia ikishakuwa na watoto hapo ndio mahala pa TV kukaa
AsanteeMacho yangu yashakua mazito
Nahisi kuhamia ulimwengu mwingine hapa, sleep tight sweet darling [emoji257][emoji3590].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakua wananilisha maneno na hivi sipendi uchonganishi naomba nisikutajie
Maana nakujua ugomvi wako unakimbiliaga mawe,sina hela yakuhudumia mtu mimi.
Ila wewe nahisi hujanmiss,iweje unajua kona gani napatkana unashndwa hata jipitisha nikuite kweliiii?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nikijaribu kumpenda Karma![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1722811