Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 7, 2021 #92,681 Mjep said: Mimi sijawahi wanyanyasa kweli Click to expand... Haya bhana..ila jueni hatukuomba tuwe flatscreen😅😅
Mjep said: Mimi sijawahi wanyanyasa kweli Click to expand... Haya bhana..ila jueni hatukuomba tuwe flatscreen😅😅
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Mar 7, 2021 #92,682 geraldincredible said: kwa kweli Mungu ni mwema hizo soda haogopi kisukari?? Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... Bitter lemon haina sukari na kama imo basi ni kidogo sana. Hii soda ni nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito na vitambi. Hata hivyo nadhani kisukari hakisababishwi na sukari ila kama mtu anacho tayari haruhusiwi kula sukari.
geraldincredible said: kwa kweli Mungu ni mwema hizo soda haogopi kisukari?? Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... Bitter lemon haina sukari na kama imo basi ni kidogo sana. Hii soda ni nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito na vitambi. Hata hivyo nadhani kisukari hakisababishwi na sukari ila kama mtu anacho tayari haruhusiwi kula sukari.
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Mar 7, 2021 #92,683 Saint Anne said: Bitter lemon haina sukari na kama imo basi ni kidogo sana. Hii soda ni nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito na vitambi. Hata hivyo nadhani kisukari hakisababishwi na sukari ila kama mtu anacho tayari haruhusiwi kula sukari. Click to expand... kwa haya maelezo lazima mtu aache Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Saint Anne said: Bitter lemon haina sukari na kama imo basi ni kidogo sana. Hii soda ni nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito na vitambi. Hata hivyo nadhani kisukari hakisababishwi na sukari ila kama mtu anacho tayari haruhusiwi kula sukari. Click to expand... kwa haya maelezo lazima mtu aache Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Mar 7, 2021 #92,684 Saint Anne said: Bitter lemon haina sukari na kama imo basi ni kidogo sana. Hii soda ni nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito na vitambi. Hata hivyo nadhani kisukari hakisababishwi na sukari ila kama mtu anacho tayari haruhusiwi kula sukari. Click to expand... am going to quit tooo.....kalumbu naacha pombe nitakua nakunywa lemon Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Saint Anne said: Bitter lemon haina sukari na kama imo basi ni kidogo sana. Hii soda ni nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito na vitambi. Hata hivyo nadhani kisukari hakisababishwi na sukari ila kama mtu anacho tayari haruhusiwi kula sukari. Click to expand... am going to quit tooo.....kalumbu naacha pombe nitakua nakunywa lemon Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,591 Reaction score 18,994 Mar 7, 2021 #92,685 cocastic said: Yaaan ma pombe kibao mezani, mmmmh hata woga hakuna lol. Click to expand... 😨😨😨
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Mar 7, 2021 #92,686 moudgulf said: View attachment 1718976 Click to expand... Hiyo ardhi mbona ni kama ya kwenye Animations
moudgulf said: View attachment 1718976 Click to expand... Hiyo ardhi mbona ni kama ya kwenye Animations
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,716 Reaction score 34,872 Mar 7, 2021 #92,687 Chakorii said: Haya bhana..ila jueni hatukuomba tuwe flatscreen😅😅 Click to expand... Wotee watakua flat screen lkn siyo wewe
Chakorii said: Haya bhana..ila jueni hatukuomba tuwe flatscreen😅😅 Click to expand... Wotee watakua flat screen lkn siyo wewe
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 7, 2021 #92,688 Waziri wa Kaskazini said: Click to expand... Nini shida mbona chozi tena jmn
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 7, 2021 #92,689 Behaviourist said: Queen jojo ana kucha nzuri! Click to expand... Asante kipenzi changu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,508 Reaction score 830,009 Mar 7, 2021 Thread starter #92,690
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Mar 7, 2021 #92,691 Karma said: Ndani KitaaView attachment 1706463 Click to expand... Haifunguki
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 7, 2021 #92,692 Mjep said: Ila hana tako Click to expand... lengo lako nitume picha heheheee
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,286 Mar 7, 2021 #92,693 Mshana Jr said: View attachment 1718840 Click to expand... kukatwa govi kuwe na mashindano, ma ngariba fursa kwao sasa.
Mshana Jr said: View attachment 1718840 Click to expand... kukatwa govi kuwe na mashindano, ma ngariba fursa kwao sasa.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,286 Mar 7, 2021 #92,694 moudgulf said: Kundi A bado gumuView attachment 1718975 Click to expand... Imeisha hiyoooooooh
mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,061 Reaction score 4,847 Mar 7, 2021 #92,695 Art for life..
Relief Mirzska JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 13,976 Reaction score 22,409 Mar 7, 2021 #92,696 Humu kumbe maisha yanaendelea, duh!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,286 Mar 7, 2021 #92,697 Waziri wa Kaskazini said: Click to expand... ........
Relief Mirzska JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 13,976 Reaction score 22,409 Mar 7, 2021 #92,698 qeen jojo said: lengo lako nitume picha heheheee Click to expand... Kwani si ndio maana ya selfika na JF. Snap it, show it.
qeen jojo said: lengo lako nitume picha heheheee Click to expand... Kwani si ndio maana ya selfika na JF. Snap it, show it.
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 7, 2021 #92,699 Relief Mirzska said: Kwani si ndio maana ya selfika na JF. Snap it, show it. Click to expand... Sio kwa kuchokozana hvo sasa angesema tu anataka kusafisha macho basi
Relief Mirzska said: Kwani si ndio maana ya selfika na JF. Snap it, show it. Click to expand... Sio kwa kuchokozana hvo sasa angesema tu anataka kusafisha macho basi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,508 Reaction score 830,009 Mar 7, 2021 Thread starter #92,700 cocastic said: kukatwa govi kuwe na mashindano, ma ngariba fursa kwao sasa. Click to expand... Dili hilo Mimi nataka vile vinyama tuu
cocastic said: kukatwa govi kuwe na mashindano, ma ngariba fursa kwao sasa. Click to expand... Dili hilo Mimi nataka vile vinyama tuu